MSANII Mchekeshaji maarufu hapa nchini kutoka kundi la Ze Comedy kipindi kinachorushwa na runinga ya EATV Channel 5 ''Mtanga mtangalile'' Leo amefiwa na kaka yake kwa jina ''Azizi'' baba mmoja mama mmoja, Kwa mujibu wa mtu wa karibu habari iliifikia Masai Nyotambofu Blog kwamba
alifariki kwa
ajali Jijini Dar Es Salaam, Habari zaidi kuhusiana msiba huo mtaendelea
kuzipata hapa hapa, masainyotambofu.blogspot.com inampa pole Mtanga
pamoja na familia nzima kwa ujumla ndugu jamaa na marafiki wote.. R.I.P
Brother Azizi.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni