Juzi mwigizaji wa bongo movies Kajala aliondokoka
nchini kuelekea Afrika ya kusini kwa ajili ya safari binasfi ambayo
pamoja na mambo mengine alitembelea shue ya uigizaji ya AFDA
(AFDA the South African School of Motion Picture Medium and Live
Performance) iliyopo nchini humo.
Tazama hapo picha kadhaa za msanii huyo nchini humo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni