Jumamosi, 27 Julai 2013

UPDATE: Baada ya tuhuma, hatimaye Jennifer Kyaka (Odama) atoa ushahidi wa kwenda nje.

UPDATE: Baada ya tuhuma, hatimaye Jennifer Kyaka (Odama) atoa ushahidi wa kwenda nje.
  • UPDATE: Baada ya tuhuma, hatimaye Jennifer Kyaka (Odama) atoa ushahidi wa kwenda nje. 1
  • UPDATE: Baada ya tuhuma, hatimaye Jennifer Kyaka (Odama) atoa ushahidi wa kwenda nje. 2
  • UPDATE: Baada ya tuhuma, hatimaye Jennifer Kyaka (Odama) atoa ushahidi wa kwenda nje. 3
Baada ya wadau mbalimbali kuanza kuhoji kuhusu uhalisia wa safari za mwigizaji Jennifer Kyaka (Odama) kwenda ulaya ambaye picha zake kadhaa zilizotolewa mtandaoni wiki chache zilizopita zikimtuhumu kuwa huwa haendi nje ya nchi bali anakuwepo nchini kwa lengo la kutafuta “kiki” na kutengezeza picha hizo kwa program maalumu ya kompyuta, hatimaye jana kupitia mtandao mmoja wa kijamii aliweka picha zake mpya zinazomuonesha nchini Qatar katika maduka mbalimbali na kwenye uwanja wa ndege wa nchi hiyo.
 Picha hizi zimekuja kama ushahidi na majibu ya mwaswali yaliyokuwa yakiulizwa na wadau wengi kuhusu mwanadada huyu. Tazama picha hizi hapo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni